Mkuu wa wilaya ya kinondoni bwana Alli Hapi ameagiza walimu 68 wa shule za msingi na 22 wa shule za sekondari kuvuliwa vyeo kutokana nakubainika kuwa na wanafunzi hewa.
Mkuu wa wilaya amechukua hatua hiyo baada ya kubainika kuwepo kwa wanafunzi hewa 5000 katika manisipaa yake ambao wamekua wakipata ruzuku ya elimu bure.
0 comments:
Post a Comment