17 Aug 2016

VYUO VYA TANZANIA VYAPEWA SIKU 7 KURUDISHA TSH 3.8 BILIONI ZA WANAFUNZI HEWA, CHEKI HAPA HABARI NZIMA.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Ndalichako

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Ndalichako ametoa agizo kwa vyuo 31 kurudisha Tsh 3.8 bilioni ambazo vyuo hivyo vilipokea kwa mwaka wa masomo 2015/2016 kwa ajili ya wanafunzi 2192.
Hatua hiyo imekuja baada ya wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ikishirikiana na maofisa wa kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) na bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu Tanzania (HESLB) kufanya uhakiki wa wanafunzi vyuoni nakukuta wanafunzi hao 2192 kutokuwepo wala kutambulika vyuoni humo.


0 comments:

Post a Comment