Mshindi wa uraisi zambia Bwana Edgar Lungu
Aliyekuwa mgombea wa urais zambia bwana Edgar Lungu wa chama cha Patriotic Front (PF) ametangazwa mshindi wa urais nchini humo kwa awamu nyingine tena.Bwana Edigar Lungu ameshinda kwa 50.35% huku akifuatiwa na bwana Hakainde Hichimela wa chama cha UPND aliepata 47.67%
Bwana Hakainde Hichimela, kiongozi wa UPND
0 comments:
Post a Comment