15 Aug 2016

PROFESA LIPUMBA AKATWA KATI YA MAJINA YA WAGOMBEA UENYEKITI CUF, CHEKI HAPA.

Profesa Ibrahimu Lipumba

Mkutano mkuu wa chama cha wananchi CUF umepitisha majina tisa ya wagombea wa nafisi ya uenyekiti katika chama hicho baada ya aliyekuwa mwenyekiti Profesa Ibrahimu Lipumba kujiuzulu mnamo mwaka jana.
Mkutano mkuu huo wa CUF haukupitisha jina la Profesa Lipumba japokuwa alirejea katika chama hicho na kuendelea na shuguli zake za ndani ya chama huku ikifahamika kua na nia ya kutaka kuendelea kua mwenyekiti wa chama hicho.

Source: ITV TANZANIA.

0 comments:

Post a Comment