Spika wa bunge Ndugu Jobu Ndungai na Naibu wake Dk.Tulia
Kupitia kipindi cha funguka kinachorushwa na kituo cha television cha Azam Tv, Spika wa bunge Job Ndugai ameeleza hisia zake juu ya tabia ya wapinzani kuwaita mawaziri mzigo, na haya ndo aliyosema.."kinacho gomba sana katika bunge la Tanzania ni lugha tu,kwauzoefu wangu mimi, kwamfano...anasimama mbunge anasema huyu waziri huyu ni mzigo, huyu ni furushi tu,sasa huyu waziri ni mtu mzima,anafamilia ana watoto ana wajukuu mwingine, anawapigakula wake anawatu wanao mueshimu, alafu unamuita furushi,unamtuhumu wala hata ujaeleza tuuma zake ni nini...lazima tutoke huko"
Msikilize hapa chini kwenye video hii akiongea zaidi...
Source:Video by Millardayo.com, Ayotv
0 comments:
Post a Comment