Katibu mkuu wa TABOA, Enea Mrutu amesema zaidi ya mabasi 4000 yanayo hudumia safari za mikoani yatasimamisha huduma zake ili kukaguliwe lengo likiwa kupunguza ajali za barabarani na kwamba wametuma barua SUMATRA kuieleza kuhusu swala hilo.
Source: Mwananchi.com
0 comments:
Post a Comment