15 Sept 2015

THE WORLD DEMOCRATIC DAY (Siku ya Demokrasia Duniani)

Tarehe 15 mwezi wa 9 kila mwaka, ni siku ya demokrasia duniani, Kama watanzania tuna mtizamo hupi juu ya siku hii na demokrasia ndani ya nchi yetu?

Kama neno lenyewe linavyo jieleza, Demokrasia ni mfumo ambao kila mwananchi anakua huru na hasa katika kuchagua kiongozi anaye mtaka na ana sauti juu ya mamraka inayo ongoza.
Kwa kingereza wanasema Democracy is a form of government in which the people have voice in exercise of power typically through elected representatives.
Kwa mtizamo wa nchi yetu, kwa mfumo wa uchaguzi na uongozi ni dhahiri kua kwa kiasi flani tumeweza kufuata taratibu za demokrasia na tunatakiwa tuendelee kuutekereza hasa kwa kipindi hichi cha kuelekea katika uchaguzi.
Na barani afrika kwa ujumla kuna baadhi ya nchi bado hazifuati mfumo wa demokrasia na ata nchi nyingine zina diriki kujaribu ku badilisha katiba ili kuweza kuendelea kua madarakani jambo ambalo si sahii, mfano mzuri ni nchi kama rwanda na burundi.
Nidhahiri kuwa kwa maendeleo ya nchi yeyote ni muhimu kwa nchi hiyo kufuata taratibu na mipangilio yote ya  demokrasia.

0 comments:

Post a Comment