15 Sept 2015

DO YOU KNOW ABOUT ARRIVAL TREE? (Je unajua kuhusu mti uitwao mti wa wanao wasili?)

ARRIVAL TREE, ni mti ulioko katika uwanja wa ndege wa kismayo ulioko nchini Somalia, Ni mti unaotumika kwa wageni wanao wasili katika uwanja huo kutoka sehemu mbalimbali,Hutumika kama sehemu ya kupumzikia badala ya vyumba maalumu kabla ya wasafiri hao kwenda makwao ama hotelini.

Baadhi ya wasafiri wakipumzika chini ya ARRIVAL TREE kabla ya kwenda makwao.

0 comments:

Post a Comment