14 Sept 2015

10 IMPORTANT THINGS YOU HAVE TO DO BEFORE YOU REACH 28 YEARS OF AGE AS A YOUTH (Mambo 10 muhimu unayo takiwa kufanya kabla ya kufika miaka 28 ya ujana.)


Kama kijana kuna mambo mengi muhimu unayo takiwa kufanya ili kujiandaa kwa maisha yako ya sasa na ata ya badae ya kujitegemea na kujisimamia mwenyewe nakupata mafanikio tele.
Haya yafuatayo ni mambo kumi (10) muhimu ya kwanza unayo takiwa kufanya na kufuata ili kuweza kua kijana sahii, huru, anayejitambua na mwenye mafanikio;

JAMBO LA KWANZA: Jifunze kutunza kumbukumbu;
Vijana wengi wamekua wakishindwa kutimiza ndoto na maono yao juu ya maisha yao sababu yakuto weka kumbukumbu ya yapi wanatamani kufanya kwa maisha ya badae, kama kijana unatakiwa kuweka kumbukumbu kwa kila ndoto na maono yako  kwa njia ya maandishi katika kitabu au daftari (note book or diary) ili uweze kukumbuka nakutimiza kwa wakati.

JAMBO LA PILI; Jifunze kua mbunifu wa biashara;
Kama kijana unatakiwa kua mbunifu wa kipi sahii kufanya ili kikupatie kipato, yani kua mjasiriamali.

JAMBO LA TATU: Jifunze kuweka akiba ya fedha;
Kama kijana unatakiwa uwe na uwezo wa kudhibiti na kutunza kipato chako yani kutunza vyanzo vyako  vya fedha na fedha yako mwenyewe kwa kua na account ya benki au kuizungusha fedha yako ili iweze kuzalisha zaidi.

JAMBO LA NNE; Kua na marafiki wenye changamoto za maendeleo;

JAMBO LA TANO: Achana na starehe zisizo na maana;

JAMBO LA SITA: Zingatia sana muda wako;

JAMBO LA SABA: Anza kununua assets;

JAMBO LA NANE: Acha kuishi na wazazi au kupanga nyumba na washikaji;

JAMBO LA TISA: Jali sana afya yako;

JAMBO LA KUMI: Tafuta mpenzi sahii, mmoja na tulia nae;



1 comments: