13 Sept 2015

ABOUT OUR BLOG( Kuhusu blog yetu)

Hello,
Ninayo furaha kubwa kuwakaribisha katika blog yetu hii ya kijana huru, dhumuni kuu la blog hii ni kuhabarisha uma kuhusiana na habari tofauti tofauti zinazotokea katika jamii, pia kutoa elimu kwa vijana ili wawe huru, wajitambue na kuepukana na maadui ujinga, umasikini na maradhi ili kujenga jamii iliyo sahihi kwa kizazi cha sasa na ata cha badae, asanteni na karibuni.

0 comments:

Post a Comment