9 Oct 2015

JE UNAMFAHAMU YULE MTU ALIYEKUWA AKIJIITA MUNGU NCHINI KENYA AMBAYE SASA ANAHOFIWA KUFA? BASI MJUE VIZURI HAPA, HUWEZI AMINI UTAKAYO YAONA.


Wahumini wa Mungu huyo wakiwa wamekusanyika.

Wanamuita  Jehova Wanyonyi, ni Mkenya, kiongozi wa madhehebu wa kundi linalojiita Waisraeli waliopotea, ambaye mapema mwaka huu alisema kuwa yeye ndiye Mungu.
Ambapo hivi karibuni Serikali ya Kenya imesema kuwa alifariki miezi mitatu iliyopita na wafuasi wake kuzika maiti yake mahali pasipo julikana. Hata hivyo wafuasi wake walisema kuwa Jehova Wanyonyi bado yu hai na anaendelea kufanyiwa matibabu katika hospitali moja nchini ingawa hawajui ni ipi.
Embu mtizame katika video hapa chini...



Alafu bonyeza link hapo chini kusikiliza sauti ya  yaliyojili baada ya muhandishi wa habari wa bbc Swahili kutembelea sehemu aliyokua akihishi uyo Jehova Wanyomi.

link>>>http://www.bbc.com/swahili/medianuai/2015/10/151006_jehova-wanyonyi






Mungu Jehova Wanyomi katika pozi tofauti tofauti.

0 comments:

Post a Comment