9 Oct 2015

HATIMAYE MSHINDI WA MILLION 50 ZA BONGO STAR SEARCH 2015 (BSS 2015) AMEPATIKANA, TAZAMA HAPA KUMFAHAMU.


Kayumba Juma akiwa stejini akiimba.

Baada ya muda mrefu na kazi nzito ya majaji Madam Ritha na kundi lake, katika kutafuta vijana wenye vipaji vya kuimba na kuwashindanisha, hatimaye mshindi amepatikana ambaye anajulikana kwa jina la KAYUMBA JUMA kutoka dar es salaam, ambapo top three ilikuwa na waimbaji Kayumba juma, Faboo nasib pamoja na Frida.
Mshindi uyo wa BSS 2015 amejipatia million 50 zilizokua zikishindaniwa katika shindano hilo,hongera kwake.

0 comments:

Post a Comment