10 Oct 2015

HATIMAYE SEKI WA ZE ORIJINO KOMEDI APATA JIKO, NI ZURI ILE MBAYA, CHEKI PICHA HAPA.

Kama ilivyo desturi ya jamii yetu ya kitanzania, kijana ni muhimu kupata mwenza wa maisha yani mke au mume, angalia picha hapa chini za kijana mwenzetu Seki aliye pata mwenza na tuige toka kwake.

seki (10)
Seki mwenye suti ya bluu akiwa na Masanja mkandamizaji.

seki (5)
Seki mwenye suti ya bluu akiwa na my wife wake mwenye shera aliye shika ua.

seki (2)
Joti na Bi. Harusi.

seki (8)
Wakuvanga na Bi. Harusi.

seki (1)
Masanja, MC Legan na Bi.Harusi.

seki (2)

Masanja na Bi.Harusi.

seki (4)
Picha ya pamoja na Maharusi wetu.

Uongozi wa blog ya Kijana Huru inatoa pongezi kwa vijana wenzetu seki na mkewe kwa mahamuzi haya maana ni maamuzi ya busara na yakuigwa kwa kijana yeyote.

0 comments:

Post a Comment