10 Oct 2015

HATIMAYE KILE KIWANDA KIKUBWA CHA CEMENT CHA DANGOTE CHA MTWARA CHAZINDULIWA, TIZAMA HAPA KUJUA WANAHITAJIKA WAFANYAKAZI WANGAPI.



Kiwanda cha saruji cha dangote.

Atimaye kile kiwanda kikubwa cha saruji cha Dangote kilichopo mkoani Mtwara kimezinduliwa rasmi hapo jana na raisi Jakaya Kikwete.

Raisi Jakaya Kikwete akiwa na wengine alio fuatana nao katika uzinduzi.

Kiwanda hicho kinacho milikiwa na mnaigeria Alhaji Dangote kinategemea kuajili wafanyakazi elfu tano na vibarua wa kila siku elfu tatu ambapo kimetoa kipaumbele cha ajira kwa wazawa ambao ni wa Tanzania.
Pia kiwanda hicho kitakua na bandari itakayojengwa katika kijiji cha Mgao mkoani Mtwara, bandari hiyo ambayo itachukua ukubwa wa hekta 250, ni kwa ajili ya usafirishaji wa saruji itakayokua inazalishwa katika kiwanda hicho.


Huyu ndie Alhaji Dangote.

0 comments:

Post a Comment