13 Oct 2015

BALOZI MWAPACHU NAYE AKIKIMBIA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM), SOMA HAPA ALICHOSEMA.


Balozi Juma Mwapachu.
Zikiwa zimebaki siku 11 tu tuingie katika uchaguzi, Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Juma Mwapachu ametangaza rasmi kujivua uanachama ndani ya CCM bila kusema anaelekea chama gani huku akidai kuwa, CCM imepoteza dira, amesema ametoa huamuzi huo wakati watanzania wakielekea katika siku ya nyerere tarehe 14/10 ili kumuenzi baba wa taifa hayati Mwl Julius Kambarage Nyerere.

Source: Global Publishers

0 comments:

Post a Comment