22 Sept 2015

MAGUFULI APIGISHWA PUSHAPU HADHARANI TENA JUKWAANI.

Wakati Tanzania ikielekea katika uchaguzi mkuu mwezi wa kumi, Mgombea uraisi kupitia chama cha Mapinduzi dokta John Pombe Magufuli ameonekana akipiga pushapu akiwa jukwaani huku wananchi wakishangilia. Mgombea uyo amepiga pushapu hizo katika mkutano wa kampeni uliofanyika mkoani kagera kwa nia ya kuwadhiirishia wananchi waliokua kwenye kampeni hiyo kwamba yuko vizuri kiafya.

mgombea uraisi, dokta John Pombe Magufuli akiwa anawajibika kwa pushapu jukwaani.

0 comments:

Post a Comment