Fiesta 2016 imoo ilitikisa jiji la mwanza kwa kupambwa na wasanii wa kila aina ambao walitoa burudani za aina yake kwa wakazi wa jiji hilo, nimekukusanyia picha za namna shoo ilivyo bamba cheki hapa chini...
Wana Mwanza Mwanza wakiburudika kwa raha zao
Mdada Diana Nyange akifanya yake stejini
Wachezaji wa group la scorpion wakifanya yao
Mzee wa sophia sophia, Ben pol
Mtoto wa WCB, Raymond
Shishi beibi akijiandaa kufanya yake
WizKid toka Nigeria nae alikuepo
0 comments:
Post a Comment