20 Aug 2016

DADA HUYU PAMOJA NA UJAUZITO LAKINI ANAPIGA ZOEZI ILE MBAYA, CHEKI PICHA HAPA.

Anajulikana kama Beki Gerrard mwenye umri wa miaka 29 kutoka Uingereza atajifungua hivi karibuni, lakini anaendelea kufanya mazoezi ya viungo nusu saa kila siku. Kitendo chake kimesifiwa na kukosolewa na watu wengi kwenye mtandao wa Internet, cheki picha zaidi akiwa zoezi hapa chini...







0 comments:

Post a Comment