18 Jan 2016
CANAVARO ALALAMIKA KUVULIWA UNAHODHA BILA HESHIMA, SOMA HAPA ALICHOSEMA.
Nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania, Nadir Haroub Canavaro.
Aliyekuwa nahodha wa timu ya Taifa Stars nchini Tanzania Nadir Haroub Canavaro amelalama kwamba alivuliwa unahodha bila ya heshima yoyote, na hiyo ni mojawepo wa sababu zake za kustaafu kutumikia timu hiyo.
Canavaro ambae pia ni nahodha wa kilabu ya Yanga amevuliwa unahodha na nafasi hiyo kupewa Bwana Samata mshambuliaji wa timu ya TP Mazembe baada ya kutunukiwa tuzo ya mchezaji bora Afrika.
Bwana Ally Samata.
0 comments:
Post a Comment