26 Sept 2015

YANGA YAIADHIBU SIMBA BILA KUITIZAMA MACHONI, TAZAMA ILIVYOKUA.

Ule mchezo uliokua ukisubiliwa kwa muda mrefu kati ya timu za Simba na Yanga sasa umekwisha timia na kuacha historia ambapo timu ya Yanga imewabamiza wenzao Simba kwa magoli ya mbili bila (2-0) yaliyo fungwa na wachezaji Tabwe na Busungu, ambapo goli la kwanza limefungwa kipindi cha kwanza na la pili kipindi cha pili.









Kikosi cha Yanga kilicho iadhibu Simba.

Kwa ushindi huo Yanga yazidi kushika kilele kwa kuongoza kuwa na point nyingi zaidi ya timu yingine katika ligi hiyo ya Vodacom, (VPL).









0 comments:

Post a Comment