Kulingana na utafiti huo ambao ulifanyika wiki 3 za mwanzo za mwezi wa 9, unasema kua wananchi waliojiandikisha kupiga kura wapatao 2040 kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania bara walishiriki katika utafiti huo ambao ulifanywa kwa njia ya kuuliza swali la "Nani utamchagua awe Raisi....?
Wanasema majibu ya wananchi walioulizwa ni kama ifuatavyo:
Jina la mgombea Chama Asilimia
- Edward Lowasa CHADEMA 54.5%
- John Magufuli CCM 40%
- Hashim Rungwe CHAUMA 0.4%
- Chief Yemba ADC 0.1%
Statistics ya matokeo juu ya utafiti huo.
0 comments:
Post a Comment