6 Dec 2015

WANAFUNZI WAPYA WA VYUO VIKUU NCHINI WALAMBA DUME TOKA KWA MAGUFULI, TAZAMA HAPA UONE.


Chuo kikuu cha dodoma.

Serikali imefanikiwa kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wa vyuo vikuu walioomba mwaka huu ikiwa ni utekelezaji wa sehemu ya maelekezo ya Rais Dakta JOHN POMBE MAGUFULI ya kuondoa kero na malalamiko ya muda mrefu ya wananchi katika sekta ya elimu.
Chuo kikuu cha dar es salaam.


Source: Radio one

0 comments:

Post a Comment