14 Dec 2015
HUYU NDIE MTOTO ALIE ZALIWA BILA SEHEMU YA KICHWA INAYO TUNZA UBONGO, MFAHAMU VIZURI HAPA.
By Unknown at 15:40
No comments
Mtoto Jaxon Buell akiwa na mama yake.
Mwacheni MUNGU aitwe MUNGU maana anawajua watu wake zaidi ya yeyote wala chochote, ni mtoto Jaxon Buell alizaliwa August 27 2014 huko Birmingham, Uingereza akiwa hana sehemu kubwa ya fuvu la kichwa pamoja na ubongo.
Madaktari waliligundua tatizo la huyu mtoto tangu kipindi ambacho bado hajazaliwa, Brandon na Brittany ambao ni wazazi wake walishauriwa na Madaktari kwamba ni bora ujauzito wake ukatolewa, wao hawakukubali, kingine kikafuatia kwamba hata akizaliwa,hatokuwa na maisha marefu atafarariki kutokana na ukubwa wa tatizo lake.
Wazazi wa mtoto Jaxon Buell.
Baada ya miezi mingi kupita akiwa anafanyiwa uchunguzi na madaktari waligundua kuwa hakuna kinga yoyote itakayomsaidia kuendelea kuishi lakini wazazi wake hawakukata tamaa na walifanya kila jitihada kuhakikisha mtoto wao anaendelea kuishi.
Tazama video hapa chini ikielezea hali nzima ya mtoto Jaxon Buell....
Source:http://edition.cnn.com/2015/10/01/health/baby-born-without-complete-skull-turns-1/
0 comments:
Post a Comment