5 Dec 2015

HUWEZI AMINI!! HAYA NDIO MABILIONI AMBAYO RAISI MAGUFULI AMEWEZA KUOKOA NDANI YA SIKU CHACHE ZA UONGOZI WAKE,YATAZAME.


Raisi wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli.

Rais John Magufuli mpaka sasa akiwa ametimiza  mwezi mmoja tu tangu alipoapishwa kushika wadhifa wa kuwa raisi wa Tanzania, ameweza kuweka rekodi ya kuokoa kiasi cha Sh 997.4 bilioni (karibu Sh 1trilioni) ambazo zilikuwa zitumike kwa matumuzi yasiyo ya lazima, na ukwepaji kodi.
Watanzania hasa vijana walio huru kifikra na kimtazamo tunampongeza kwa utendaji wake wenye kuleta matumaini mapya kwa nchi yetu, aendelee na kasi hiyohiyo.
ALENSELEMA....ALEJA!!!!!



0 comments:

Post a Comment