27 Nov 2015

WAZIRI MKUU MPYA MH KASSIM MAJALIWA NI MOTO WA KUOTEA MBALI, SOMA ALICHO FANYA BAADA YA KUFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA BANDARINI NA TRA.


Waziri Mkuu Mh Kassim Majaliwa.

Waziri Mkuu Mh Kassim Majaliwa leo ameamuru kukamatwa kwa maafisa kadhaa wa Mamlaka ya Mapato (TRA) na wengine kufukuzwa kazi baada ya kufanya ziara ya kushtukiza Bandarini na kukuta uozo .
 Maafisa hao wametakiwa kusalimisha hati zao za kusafiria, nah ii imekuja baada ya kugundulika kuwa kuna makontena 349 yenye thamani ya zaidi ya bilioni 80 ambayo data za Mamlaka ya Bandari inazo lakini katika mtandao wa TRA hayaonekani.


Bandari ya Dar es salaamu.

Source: Mwananchi.

0 comments:

Post a Comment