4 Oct 2015

MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU ATANGAZA RASMI KUJIONDOA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM), MSIKILIZE HAPA AKISEMA SABABU ZA KUJIONDOA.


Mzee Kingunge Ngombale Mwiru.

Mwanasiasa mkongwe na kada wa chama cha mapinduzi (CCM), Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, ametangaza rasmi kujiondoa katika chama cha mapinduzi (CCM) bila kusema anaenda chama kipi, ametamka maneno hayo akiwa anaongea na wana habari jijini Dar huku akitoa sababu lukuki za kukiama chama hicho.
Mtazame na kumsikiliza akiongea hayo katika video hapa chini,


Source: global tv

0 comments:

Post a Comment