30 Sept 2015

WAANGALIZI WA KIMATAIFA WA UCHAGUZI MKUU WAANZA KUINGIA TANZANIA, ANGALIA WALICHOSEMA KUHUSU TANZANIA.

Zikiwa zimebaki siku chache kwa wa Tanzania kuingia katika uchaguzi mkuu wa raisi, wabunge na madiwani na huku wagombea kutoka vyama mbalimbali wakiendelea kunadi sera zao, umoja wa ulaya, European Union Election Observation Mission, umezindua rasimi timu ya waangalizi wake juu ya uchaguzi mkuu Tanzania kwa kuleta waangalizi wao nchini.


Wasimamizi wa uchaguzi mkuu Tanzania, kutoka umoja wa ulaya.

waangalizi hao wamesema wanahaidi kufatilia kipindi chote cha uchaguzi kuakikisha misingi yote ya kidemokrasia inafuatwa

0 comments:

Post a Comment