19 Sept 2015

INTERACTION OF ROBOTIC WORK IN HUMAN BEING WORK ( Mwingiliano wa uwezo wa Roboti katika kazi za kila siku za binadamu na kuleta hofu)

Roboti (Robot) ama Tarakilishi, ni kifaa cha kielectroniki kinachotengenezwa kwa madhumuni ya kurahisisha kazi fulani ama kwa jina lingine unaweza kuita Mashine, kinaweza kua katika umbo lolote lile kama vile mtu, mnyama au gari dogo.
Tokeo la picha la robotTokeo la picha la robot
Teknolojia hiyo ya uundaji wa Roboti sasa imeleta hofu katika jamii kwenye swala la ajira maana imeonekana shuguli mbalimbali  hasa viwandani itafanywa na hivi vifaa Roboti au Mashine.
Tokeo la picha la robotTokeo la picha la robot

Uko nchini Uingereza, takribani asilimia 35 (35%) ya ajira ziko hatarini kuchukuliwa na hizi Mashine katika miaka ishirini ijayo kulingana na utafiti uliofanywa katika chuo cha Oxford na Deloitte.
Utafiti huo unadai.shuguli ambazo zitakua zinafanywa na Roboti hao ni kama vile shughuli za viwandani, shughuli za kidaktari,udereva taxii na wahudumu wa migahawa.
Na uko nchini china, kuna kiwanda cha kwanza kinacho tengenezwa kiitwacho Dongguan ambacho kinategemewa kuchukua Maroboti kama wafanyakazi.
Tokeo la picha la robotTokeo la picha la robot

Kama mtanzania, kijana mwenye nguvu, hali na uwezo wa kufanya kazi, una mtazamo upi juu ya kukua kwa teknolojia hii ya Roboti?



0 comments:

Post a Comment