Diamond Platnumz na mpenziwe Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ wanatarajia kupata mtoto wa pili.
Cheki hapa chini picha mbalimbali za Zari zikionesha akiwa mjamzito...
CHEKI HAPA PICHA JINSI FIESTA ILIVYO BAMBA UKO MWANZA.
Fiesta 2016 imoo ilitikisa jiji la mwanza kwa kupambwa na wasanii wa kila aina ambao walitoa burudani za aina yake kwa wakazi wa jiji hilo, nimekukusanyia picha za namna shoo ilivyo bamba cheki hapa chini...
Wana Mw…Read More
TAZAMA HAPA MAPICHA, HARUSI YA MASANJA MKANDAMIZAJI.
Masanja Mkandamizaji
Yule gwiji wa uchekeshaji Tanzania wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’, ameuaga ukapera kwa kufunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu aitwaye Monica.
Masanja…Read More
UNAAMBIWA HIVI NDIVYO VIGEZO VYA KUJIUNGA NA WCB YA DIAMOND.
Inawezekana kukawa na vijana wengi wanaopenda au wana ndoto siku moja ya kupata nafasi ya kusainiwa katika record label ya Wasafi Classic Baby (WCB) inayomilikiwa na msanii wa Bongofleva Diamond Platnumz,Diamond alitafutwa n…Read More
0 comments:
Post a Comment