5 Aug 2016

UNAAMBIWA HIVI NDIVYO VIGEZO VYA KUJIUNGA NA WCB YA DIAMOND.


Inawezekana kukawa na vijana wengi wanaopenda au wana ndoto siku moja ya kupata nafasi ya kusainiwa katika record label ya Wasafi Classic Baby (WCB) inayomilikiwa na msanii wa Bongofleva Diamond Platnumz,Diamond alitafutwa na kuuliza ni vigezo vipi anavitumia kuwasaini wasanii wapya kwenye label yake.
“Msanii yoyote yule utakayemuona kasainiwa WCB ujue kapitia na kasikilizwa na watu wengi sana, usifikirie nitamsikiliza mimi tu nikaamua apite wakati anaweza kuja mwingine hakaona hafai, huwezi kulazimisha kutokana huwezi kujua kaona nini, mtu mpaka kapitishwa ujue ana akili, mjanja anajua kutunga” aya ni baadhi ya maneno aliyoongea diamond kuhusu namna ya kumsaini msanii katika label yake ya WCB, zaidi msikilize hapa chini katika video akiongea....



CHANZO: millardayo.com

0 comments:

Post a Comment