14 Aug 2016

TAZAMA HAPA MAPICHA, HARUSI YA MASANJA MKANDAMIZAJI.

  Masanja Mkandamizaji


Yule gwiji wa uchekeshaji Tanzania wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’, ameuaga ukapera kwa kufunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu aitwaye Monica.
Masanja na Mkewe Monica siku walipokua wakibariki uchumba wao kanisani

Ndoa hiyo imefungwa katika Kanisa la Mito ya Baraka lililopo Jangwani jijini Dar es Salaam.
Miongoni mwa wageni waliohudhuria harusi huyo ni pamoja na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Dk. Tulia Ackson.
Cheki mapicha hapa chini....
Masanja na Mkewe Monica

Baadhi ya wachekeshaji wenzake na Masanja wakifuatilia kwa ukaribu harusi
Wana kijana huru tunawapongeza kwa hatua walio chukua yeye na mwenzake pia tunamtakia maisha mema na kila raheli.
Cheki na video ya harusi hiyo kwa ufupi hapa chini....

0 comments:

Post a Comment