4 Feb 2016

MKE WA KAFULILA, MBUNGE JESCA KISHOA ATOLEWA NJE YA BUNGE, ZIJUE SABABU HAPA.

Mbunge Jesca Kishoa (CHADEMA) ambaye ni mke wa David Kafulila ametolewa nje ya ukumbi wa Bunge na Mwenyekiti wa bunge Andrew Chenge baada ya kushindwa kuthibitisha tuhuma alizozitoa dhidi ya Waziri wa Katiba na sheria Dkt Harison Mwakyembe kuhusu gharama zilizotumika kuleta mabehewa Mh. Jesca hatoruhusiwa kuhudhuria vikao viwili kama adhabu yake.

Mbunge Jesca Kishoa (CHADEMA)

1 comments: