15 Sept 2015

THE WORLD'S MOST QUIETEST ROOM (Chumba chenye utulivu zaidi duniani kuliko chochote)

Utulivu ni kitu cha muhimu sana kwa maisha ya mwanadamu, Kutana na chumba ambacho ni tulivu kuliko chumba chochote wala sehemu yeyote duniani.

Chumba hicho ambacho kimetengenezwa na wanasayansi wa marekani ambao wanadai kiko kimya yaani kinautulivu wa asilimia tisini na tisa point tisa tisa (99.99%) kiasi ambacho ukiwa ndani unauwezo wakusikia damu yako ikitembea ndani ya mwili wako mwenyewe, na hakuna aliye wahi kuishi ndani ya chumba hicho zaidi ya dakika 45.
Ingia kwenye link hii  https://www.youtube.com/watch?v=aa_1Galj3nI
pamoja na hii https://www.youtube.com/watch?v=mXVGIb3bzHI
uone maajabu ya chumba hicho.


0 comments:

Post a Comment