• HIZI NDIZO SABABU ZINAZOPELEKEA WAPENZI WENGI KUTOKUA WAAMINIFU

  • HII NDIO TARIFA WALIOTOA WATALAMU WA JIOLOJIA (GST) JUU YA TETEMEKO LA ARDHI MKOANI KAGERA

  • TOKA TCU, CHEKI HAPA KAMA UMECHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017

  • HIZI NDIZO MBINU 6 KUBWA ZITAKAZO KUSAIDIA KUPATA AJIRA MAPEMA NA KWA URAHISI

  • MAMBO 7 YA KUFANYA UNAPOKUWA KATIKA NYAKATI NGUMU ZA KIMAISHA

6 Jan 2017

HII NDO LIST YA WASHINDI WA TUZO ZA CAF KWA MWAKA 2016, CHEKI HAPA

January 5 2017 Abuja Nigeria ndio ilifanyika hafla ya utolewaji wa tuzo za soka za mwaka 2016 na shirikisho la soka barani Afrika Caf, tuzo hizo ambazo utolewa kwa wachezaji waliyofanya vizuri kwa mwaka husika kwa kupigiwa kura Riyad Mahrez wa Algeria na Leicester City ameshinda tuzo ya mchezaji...

5 Jan 2017

PENZI LA HARMONIZE NA WOLPER KUSHINEI, CHEKI HAPA

NGULI wa sanaa ya maigizo wa Bongo ajulikanaye kama Jeniffer Lopez wa Bongo,  mrembo Jacqueline Wolper ‘Gambe’ na msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka lebo kubwa ya muziki Bongo, Harmonize, penzi lao lineaendelea kudhihirika wazi kuwa ni penzi la maigizo. Wawili hao licha ya kuwa penzi...

16 Sept 2016

HIZI NDIZO SABABU ZINAZOPELEKEA WAPENZI WENGI KUTOKUA WAAMINIFU.

Huwa inatokea ambapo wanaume na wanawake hutembea na watu zaidi ya mmoja na ni kitu ambacho sote tunafahamu na tumeona na kama haujaona basi utakua umesikia tetesi. Wanawake kutembea na wanaume wengi ni aibu na pengine inaweza kupelekea jamii kukunyanyapaa tofauti kwa wanaume na hofu hii huchangia...

15 Sept 2016

TOKA TCU, CHEKI HAPA KAMA UMECHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017

Sasa unaweza kuhakikisha (confirm) kama ni mmoja kati ya waliochaguliwa kujiunga na masomo ya chuo kwa mwaka wa masomo 2016/2017 kwakubonyeza link hii>>http://cas.tcu.go.tz/users/log...

HILI NDILO TAMKO LA SERIKALI YA TANZANIA KUHUSU MADEREVA KUTEKWA HUKO CONGO, CHEKI HAPA.

Cheki video hapa chini.... Chanzo: Globalpublishers....

MADEREVA KUTOKA TANZANIA WATEKWA NA WAASI HUKO CONGO, CHEKI HABARI NZIMA HAPA.

Baadhi ya magari yanayodaiwa kuchomwa moto. Chama cha Wamiliki wa Magari ya Mizigo nchini Tanzania (TATOA) kinaripoti kwamba, waasi wa Mai Mai nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wamewateka nyara madereva wa Tanzania na kuchoma baadhi ya magari ya mizigo. Waasi hao wanadai dola za Kimarekani...

13 Sept 2016

HARAMBE KUCHANGIA WAATHIRIKA KAGERA, WANANCHI WAONESHA MOYO WAKUJITOLEA, CHEKI HAPA.

Waziri mkuu mheshimiwa Kassim Majaliwa ameongoza harambe maalum iliyofanyika jijini Dar es Saalm ikiwakutanisha mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini, umoja wa wafanyabiashara na mtu mmoja mmoja aliyeguswa na tukio la tetemeko la ardhi mkoani Kagera lililopelekea maafa makubwa yakiwamo...