Sasa unaweza kuhakikisha (confirm) kama ni mmoja kati ya waliochaguliwa kujiunga na masomo ya chuo kwa mwaka wa masomo 2016/2017 kwakubonyeza link hii>>http://cas.tcu.go.tz/users/login
WALIMU TZ KUVULIWA VYEO SABABU YA WANAFUNZI HEWA, CHEKI HAPA.
Ofisi ya Mkuu wa wilaya ya kinondoni
Mkuu wa wilaya ya kinondoni bwana Alli Hapi ameagiza walimu 68 wa shule za msingi na 22 wa shule za sekondari kuvuliwa vyeo kutokana nakubainika kuwa na wanafunzi hewa.
Mkuu wa wilaya…Read More
0 comments:
Post a Comment