25 May 2016
KIMENUKA TCU,WAZIRI AVUNJA BODI HIYO NA MAOFISA KUSIMAMISHWA KAZI,HABARI NZIMA HAPA.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako amevunja Bodi ya Tume ya Vyuo Vikuu nchini Tanzania (TCU) kufuatia Tume hiyo kupitisha majina ya wanafunzi 486 wasio na sifa kusomea Shahada ya Elimu.
Pia, Waziri Ndalichako amewasimamisha kazi Maofisa kadhaa waandamizi wa TCU kwa kushindwa kusimamia na kutekeleza vyema wajibu wa TCU na kuwateua Makaimu wa nafasi za waliosimamishwa.
0 comments:
Post a Comment