
Matokeo ya darasa la saba kwa mikoa yote yako hapa, unacho takiwa kufanya niku bonyeza link hii
>>http://necta.go.tz/matokeo/xyx_xxx123/psle.htm kisha unachagua mkoa unaoutaka alafu unachagua shule unayotaka kuona matokea ya mwanafunzi husika.
Pia unaweza kutembelea website ya NECTA kwaku bonyeza neno NECTA kama linavyoonekana hapo juu.
0 comments:
Post a Comment