22 May 2016

YAFAHAMU MAMBO AMBAYO KAMWE HUPASWI KUMTENDEA MWANAMKE.


1. Usimuumize moyo wake kwa namna yeyote ile
2. Usi 'pretend' unampenda ili ufanikiwe kufanya jambo fulani kama vile kulala nae.
3. Mtukane vyo vyote vile ila sio wazazi wake na kumwambia kuwa yeye ni mbaya.
4. Usimfananishe na wanawake zako amabao ulisha wahi kutembea nao.
5. Usimchukulie kirahisi rahisi  (Never take her love for granted) yaani wakawaida.
6. Usimpige
7. Usimsaliti na kuonyesha kabisa dharau ajue kuwa una 'cheat'
8. Usimvunjie heshima kwa kumgombeza mbele za watu.
9. Usimpotezee muda wake kama hauna mpango wa kumuoa maana unamchelewesha kupata mume bora.
10. Usimfanye ajione hapendwi na ana mkosi hapa ulimwenguni.
11. Usimbake
12. Kamwe usisahau kumwambia unampenda na yeye ni mzuri.
13. Usimpe mimba na kumkimbia au kumwambia aitoe, kama huna nia ya kumuoa achana na hayo mambo, nadhani unajua kabisa matokeo ya kufanya ngono.
Sometimes wanaume tumekua hatujielewi, unakuta unapata mwanamke anaekupenda kwa dhati, mwanamke ambae ni potential, mwanamke ambae hakodolei macho pochi yako, ila anaishia kuumizwa na kulia kila siku na kujilaumu kwanini alikupenda.
Wewe fanya hivyo ukidhani unamkomoa, ila siku na wewe ukibananishwa na mwanamke mjasiriamwili utaisoma namba, nakwambia utauza hadi boxer.
Baadae unakuja kulalamika hapa 'wanawake wanapenda pesa, wanawake wanapenda pesa.' ukishikwa shikamana.
Na kama humpendi usimtongoze!

0 comments:

Post a Comment